Mwongozo wa Kuteua Skrini ya Picha (Mwon. Vigae)

Unaweza kuteua picha kutoka kwa skrini ya kijipicha.Hii ni muhimu unapoteua picha chache kutoka kwa idadi kubwa ya picha.

Huonyesha Teua Menyu ya Picha ambayo hukuruhusu kuteua picha kwa urahisi.

Sogeza kishale kwenye picha, na kisha ubonyeze kitufe cha OK ili kuiteua.Picha zilizoteuliwa zina idadi ya alama kwazo.