/ Kiambatisho / Sifa za Kiufundi / Vipimo vya Wi-Fi

Vipimo vya Wi-Fi

Viwango

IEEE802.11b/g/n*1, *2

Masafa ya Mawimbi

2.4 GHz

Nishati ya Mawimbi ya Redio ya juu zaidi Yanayopeperushwa

19.8 dBm (EIRP)

Modi za Uratibu

Miundomsingi, Wi-Fi Direct (AP Rahisi)*3

Usalama wa Pasi Waya

WEP (64/128bit), WPA2-PSK (AES)*4

*1 Hukubaliana na IEEE 802.11b/g/n au IEEE 802.11b/g kulingana na eneo la ununuzi.

*2 IEEE802.11n inapatikana tu kwa HT20.

*3 Haiauniwi kwa IEEE802.11b.

*4 Uzingatia viwango vya WPA2 vyenye usaidizi wa WPA/WPA2 ya Kibinafsi.