Mwongozo wa Kuhariri Skrini ya Picha

Unaweza kupogoa au kuzungusha picha au kutekeleza usahihi wa rangi. Badili kati ya Us'ji Umezimwa na Usahi'i Umew'a kwa kutumia kitufe cha . Wakati Usahi'i Umew'a imeteuliwa, rangi ya usahihi imerekebishwa kwenye skrini Hariri inaonekana kwenye skrini. Wakati Us'ji Umezimwa imeteuliwa, usahihi wa rangi unasalia kutoonekana, lakini usahihi uliotekelezwa kwenye chapisho.

Hurekebisha eneo la kupogoa. Unaweza kusogeza fremu katika eneo unalotaka kupogoa kwa kutumia vitufe vya , au kubadilisha ukubwa wa fremu kwa kutumia vitufe vya - na +. Pia unaweza kuzungusha fremu kwa kutumia kitufe cha .

Uchapishaji katika sepia au monokromu.

Huteua rangi ya usahihi. Unaweza kuteua kiwango cha usahihishaji kwa vipengee maalum kwa kutumia vitufe vya + na -.