/ Kunakili / Kunakili Nakala asili Anuwai kwenye Laha Moja

Kunakili Nakala asili Anuwai kwenye Laha Moja

Unaweza kunakili nakala asili mbili kwenye laha moja la karatasi.

  1. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, sogeza kulenga kwa kipengee kutumia vitufe vya , na kisha bonyeza kitufe cha OK.

  2. Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri > Kurasa Nyingi, na uteue 2-juu.

    Unaweza pia kubainisha mwelekeo na ukubwa wa nakala asili.

  3. Teua kichupo cha Nakili, na kisha ubonyeze kitufe cha .