/ Utambazaji / Utambazaji Kupitia Paneli Dhibiti / Utambazaji Kwenye Wingu / Chaguo za Menyu Mahiri za Kutambaza kwenye Wingu

Chaguo za Menyu Mahiri za Kutambaza kwenye Wingu

Aina ya Hati:

Teua aina ya nakala yako asili.

Mipangilio ya Utambazaji:
  • Ukubwa wa Kutambaza:

    Teua ukubwa wa kutambaza. Ili kupuna nafasi nyeupe kwenye matini au taswira unapotambaza, teua Upunuaji Otomatiki. Ili kutambaza katika eneo kubwa la glasi ya kichanganuzi, teua Upeo wa Eneo.

  • Mwelekeo wa Hati:

    Teua mwelekeo wa nakala asili.

Ulinganuzi:

Teua ulinganuzi wa taswira iliyotambazwa.

Ondoa Mipangilio Yote:

Huweka upya mipangilio ya kutambaza kwa chaguo-msingi yake.