/ Kutatua Matatizo / Matatizo ya Nishati na Paneli Dhibiti / Nishati Huzima Kiotomatiki

Nishati Huzima Kiotomatiki

  • Teua Mipangilio > Mipangilio Msingi > Mip'ilio ya Kuzima, na kisha ulemaze Zima Ikiwa Haitumiki na mipangilio ya Zima ikiwa Imetenganishwa.

  • Teua Mipangilio > Mipangilio Msingi, na kisha ulemaze mpangilio wa Kipima Saa ya Kuzima.

Kumbuka:

Huenda bidhaa yako ina kipengele cha Mip'ilio ya Kuzima au Kipima Saa ya Kuzima kulingana na eneo la ununuzi.