Kutenganisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kurejesha Mipangilio ya Mtandao kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapisha Picha kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapa mbalimbali kwenye Paneli Dhibiti
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu-tumizi ya Kutambaza na Kuhamisha Taswira (Easy Photo Scan)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Kusasisha Programu dhibiti ya Kichapishi kwa kutumia Paneli Dhibiti
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Unaweza kuchapisha picha kwenye kadi ya kumbukumbu katika miundo mbalimbali kama vile 2-juu, 4-juu, na juu nusu. Unaweza kuteua bmahali pa kuweka picha.
Weka karatasi katika kichapishi.
Chomeka kadi ya kumbukumbu kwenye mpenyo wa kadi ya kumbukumbu wa kichapishi.
Wakati ujumbe unaokuambia kuwa kupakia picha kumekamilika unaonyeshwa, donoa kitufe cha OK.
Teua Chapisha Picha kwenye paneli dhibiti.
Ili kuteua kipengee, sogeza kulenga kwa kipengee kutumia vitufe vya
, na kisha bonyeza kitufe cha OK.
Teua Chapisha na kiolezo.
Teua mpangilio.
Unda mipangilio ya chapisho.
Bonyeza kitufe cha
.
Fanya moja kati ya zifuatazo.
Teua
.
Teua picha unayotaka kuchapisha kwenye skrini ya kuteua picha, na kisha uteue Weka Picha Hii.
Angalia ujumbe, kisha uteue Imethibitishwa.
Iwapo unataka kuhariri picha, teua picha, na kisha uteue Hariri Picha.
Wakati umekamilisha kuhariri, teua Imefanyika ili kurejea kwenye skrini ya Weka Picha.
Rudia hatua ya 10 hadi 13 hadi picha zote zimewekwa, na kisha ubonmyeze kitufe cha
.
Bonyeza kitufe cha
ili kuhariri picha inavyohitajika.
Ingiza idadi ya nakala, na kisha ubonyeze kitufe cha
.