Misimbo ya Kibweta cha Wino

Epson inapendekeza utumie katriji halali za wino za Epson. Epson haiwezi kukuhakikishia ubora au uaminifu wa wino usio halali. Matumizi ya wino usio halali yanaweza kusababisha uharibifu ambao haujasimamiwa na udhamini wa Epson, na wakati mwingine, kunaweza kusababisha mienendo ya uchapishaji isiyo ya kawaida. Maelezo kuhusu viwango vya wino usio halali hayawezi kuonekana.

Ifuatayo ndio misimbo halisi ya vibweta vya wino wa Epson.

Kumbuka:
  • Sio katriji zote zinapatikana katika maeneo yote.

  • Misimbo ya kibweta cha wino inaweza kutofautiana kwa eneo. Kwa misimbo sahihi katika eneo lako, wasiliana na usaidizi wa Epson.

Kwa matumizi ya Uropa

Ikoni

BK: Black (Nyeusi)

C: Cyan (Siani)

M: Magenta (Majenta)

Y: Yellow (Manjano)

Binoculars

502

502XL*

502

502XL*

502

502XL*

502

502XL*

*XL” inaashiria kibweta kikubwa.

Tembelea tovuti ifuatayo kwa maelezo kuhusu nyuga za kibweta cha wino cha Epson.

http://www.epson.eu/pageyield