Paneli Dhibiti

Huwasha na kuzima kichapishi.

Chomoa waya ya nishati baada ya kuhakikisha kuwa taa ya nishati imezimwa.

Onyesha skrini ya mwanzo.

Huonyesha utatuzi wakati uko kwenye tatizo.

Huonyesha menyu na ujumbe. Tumia vitufe vilivyo kwenye paneli dhibiti ili kuteua menyu au kuunda mipangilio.

Huteua idadi ya kurasa za kuchapisha.

Husimamisha operesheni ya sasa.

Hukurudisha kwenye skrini ya awali.

Tumia vitufe vya ili kulenga, na kisha bonyeza kitufe cha OK ili kufungua menyu iliyoteuliwa au kuunda mipangilio.

Hutekelezwa kwa vitendaji mbalimbali kulingana na hali.

Huanza operesheni kama vile uchapishaji na kunakili.