/ Kunakili / Mambo Msingi ya Kunakili

Mambo Msingi ya Kunakili

Sehemu inafafanua hatua za kunakili mambo msingi.

  1. Weka nakala za kwanza.

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, sogeza kulenga kwa kipengee kutumia vitufe vya , na kisha bonyeza kitufe cha OK.

  3. Kagua mipangilio kwenye kichupo cha Nakili.

    Teua kipengee cha mpangilio ili kuubadilisha kama inavyohitajika.

    Kumbuka:
    • Iwapo utateua kichupo cha Mipangilio Mahiri, unaweza kuunda mipangilio kama vile Kurasa Nyingi au Ubora.

    • Iwapo mchanganyiko wa mipangilio unayohitajika haipatikani, inaonekana.Teua kipengee cha mpangilio ili kuangalia maelezo, na kisha badilisha mipangilio.

  4. Ingiza idadi ya nakala.

  5. Bonyeza kitufe cha .