/ Kutayarisha Kichapishi / Kupakia Karatasi / Karatasi Inayopatikana na Uwezo

Karatasi Inayopatikana na Uwezo

Epson inapendekeza utumie karatasi halali ya Epson ili kuhakikisha uchapishaji wa hali ya juu.

Karatasi Halali ya Epson

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kupakia (Laha)

Uchapishaji wa Pande 2

Uchapishaji usiokuwa na mpaka

Epson Bright White Ink Jet Paper

A4

120

Otomatiki, Wewe mwenyewe*1

Epson Ultra Glossy Photo Paper

A4, 13×18 cm (5×7 in.), 10×15 cm (4×6 in.)

20*2

-

Epson Premium Glossy Photo Paper

A4, 13×18 cm (5×7 in.), 16:9 ukubwa wa upana (102×181 mm), 10×15 cm (4×6 in.)

20*2

-

Epson Premium Semigloss Photo Paper

A4, 10×15 cm (4×6 in.)

20*2

-

Epson Photo Paper Glossy

A4, 13×18 cm (5×7 in.), 10×15 cm (4×6 in.)

20*2

-

Epson Matte Paper-Heavyweight

A4

20

-

Epson Double-Sided Matte Paper

A4

1

Kikuli

Epson Photo Quality Ink Jet Paper

A4

100

-

*1 Unaweza kupakia hadi karatasi 30 upande mmoja ukiwa umechapishwa.

*2 Pakia karatasi moja kwa wakati mmoja ikiwa karatasi haitangia vizuri au ikiwa chapa ina rangi zisizo sawa au uchafu.

Kumbuka:
  • Upatikanaji wa karatasi unategemea eneo. Kwa maekezo mapya kuhusu karatasi inayopatikana katika eneo lako, wasiliana na usaidizi wa Epson.

  • Wakati unachapisha kwenye karatasi halisi ya Epson kwa ukubwa uliowekwa na mtumiaji, mipangilio ya ubora wa chapa wa Wastani au Normal ndio hupatikana tu. Ijapokuwa baadhi ya viendeshi vya printa hukuruhusu uchague ubora wa juu wa chapa, chapa huchapishwa kwa kutumia Wastani au Normal.

Karatasi Inayopatikana ya Kununua

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kuweka (Karatasi au Bahasha)

Uchapishaji wa Pande 2

Uchapishaji usiokuwa na mpaka

Karatasi tupu

Nakili karatasi

Kichwa cha barua*3

Barua, A4

150

Otomatiki, Wewe mwenyewe*2

B5, 16K (195×270 mm)

150

Otomatiki, Wewe mwenyewe*2

-

A5, A6, B6

150

Kikuli*2

-

Kisheria, 8.5×13 in.

1

Kikuli

-

Iliyobainishwa na Mtumiaji*1 (mm)

89×127 hadi 182×257

215.9×297 hadi 1200

1

Kikuli

-

Iliyobainishwa na Mtumiaji*1 (mm)

182×257 hadi 215.9×297

1

Otomatiki, Wewe mwenyewe

-

Bahasha

Bahasha #10, Bahasha DL, Bahasha C6

10

-

-

*1 Ni uchapishaji kutoka kwa kompyuta au kifaa mahisi unaopatikana peke yake.

*2 Unaweza kupakia hadi karatasi 30 upande mmoja ukiwa umechapishwa.

*3 Karatasi ambayo maelezo kama vile jina la mtumaji au jina la shirika yanachapishwa awali kwenye kijajuu. Lazima kuwe na pambizo ya 3 mm au zaidi katika upande wa juu wa karatasi. Uchapishaji wa pande 2 na uchapishaji usio na kingo haupatikani kwa karatasi yenye mwambaa kichwa.