/ Mipangilio ya Mtandao / Kubadilisha Mbinu ya Muunganisho kwenye Kompyuta

Kubadilisha Mbinu ya Muunganisho kwenye Kompyuta

Kutumia kisakinishaji na usanidi upya katika mbinu tofauti ya muunganisho.

  • Kusanidi kutoka kwenye tovuti

    Fikia tovuti ifuatayo, kisha uingize jina la bidhaa.Nenda kwenye Mpangilio, na kisha uanze kusanidi.

    http://epson.sn

  • Kusanidi kutumia diski ya programu (kwenye modeli zinazokuja na diski ya programu na watumiaji walio na kompyuta zilizo na viendeshi vya diski pekee.)

    Chomeka diski ya programu kwenye kompyuta, kisha ufuate maagizo ya kwenye skrini.

Uteuaji wa Kubadilisha Mbinu za Muunganisho

Fuata maagizo ya kwenye skrini hadi skrini ya ifuatayo ionyeshwe.

Teua Badilisha au weka upya mbinu ya muunganisho kwenye skrini ya Teua Usakinishaji wa Programu, na kisha ubofye Ifuatayo.