/ Mipangilio ya Mtandao / Kuunganisha kwenye Kifaa Mahiri

Kuunganisha kwenye Kifaa Mahiri

Unaweza kutumia kichapishi kutoka kwenye kifaa maizi unapounganisha kichapishi katika mitandao sawa ya Wi-Fi (SSID) kama kifaa maizi. Ili kutumia kichapihsi kutoka kwenye kifaa maizi, sanidi kutoka kwenye tovuti ifuatayo. Fikia tovuti kutoka kwenye kifaa maizi unachotaka kuunganisha kwenye kichapishi.

http://epson.sn > Mpangilio

Kumbuka:

Ikiwa unataka kuunganisha kompyuta na kifaa maizi kwenye kichapishi kwa wakati mmoja, tunapendekeza uunganishe kompyuta kwanza kwa kutumia kisakinishaji.