Kutenganisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kurejesha Mipangilio ya Mtandao kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapisha Picha kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapa mbalimbali kwenye Paneli Dhibiti
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu-tumizi ya Kutambaza na Kuhamisha Taswira (Easy Photo Scan)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Kusasisha Programu dhibiti ya Kichapishi kwa kutumia Paneli Dhibiti
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Wakati karatasi halijaingizwa kutoka kwenye mkanda wa karatasi sahihi, safisha rola iliyo ndani.
Zima kichapishi kwa kubonyeza kitufe cha
.
Chomoa waya ya nishati, na kisha ukate muunganisho wa waya ya nishati.
Tenganisha kebo ya USB, na kisha uondoe kadi ya kumbukumbu.
Vuta mkanda wa karatasi.

Simamisha kichapishi kwa kitufe
cha paneli dhibiti upande wa juu.

Chunga mkono au vidole vyako visikwame unaposimamisha kichapishi. La sivyo unaweza kujeruhiwa.
Weka maji kidogo kwenye kitambaaa, kikamue kabisaa, na kisha panguza kibiringizaji unapokizungusha kwa kitambaa.

Rudisha kichapishi katika eneo lake la kawaida, na kisha uchomeke mkanda wa karatasi.
Usiruhusu kichapishi kisimame kwa muda mrefu.
Unganisha waya ya nishati.