Kutenganisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kurejesha Mipangilio ya Mtandao kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapisha Picha kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapa mbalimbali kwenye Paneli Dhibiti
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu-tumizi ya Kutambaza na Kuhamisha Taswira (Easy Photo Scan)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Kusasisha Programu dhibiti ya Kichapishi kwa kutumia Paneli Dhibiti
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Weka karatasi katika kichapishi.
Chomeka kadi ya kumbukumbu kwenye mpenyo wa kadi ya kumbukumbu wa kichapishi.
Wakati ujumbe unaokuambia kuwa kupakia picha kumekamilika unaonyeshwa, donoa kitufe cha OK.
Teua Chapisha Picha kwenye paneli dhibiti.

Ili kuteua kipengee, sogeza kulenga kwa kipengee kutumia vitufe vya
, na kisha bonyeza kitufe cha OK.
Teua Chapisha.
Teua picha unayotakaa kuchapisha kwenye skrini ya kuteua picha.
Teua
upande wa juu kulia wa skrini ili kuonyesha Teua Menyu ya Picha. Ukibainisha tarehe kwa kutumia Vinjari, picha za tarehe iliyobainishwa pekee zitaonyeshwa.
Weka idadi ya machapisho yanayotumia kitufe cha - au +.
Unapochapisha zaidi ya picha moja, onyesha picha kwa kutumia kitufe cha
au
, na kisha uweke idadi ya machapisho.
Teua Mipangilio ya Kuchapisha ili kuweka mipangilio ya karatasi na chapisho.
Bonyeza kitufe cha
.
Bonyeza kitufe cha
ili kuhariri picha inavyohitajika.
Toa trei ya kushikilia nakala zinazochapishwa.
Ingiza idadi ya nakala, na kisha ubonyeze kitufe cha
.
Thibitisha kuwa uchapishaji umekamilika, na kisha uteue Funga.
Iwapo utagundua matatizo ya ubora wa chapisho kama vile kukusanyika pamoja, rangi zisizotarajiwa, au taswira zisizoonekana vizuri, teua Utatuzi ili kuona suluhisho.