Kuweka Picha Nyingi za Kunakiliwa

Unaweza kuweka picha nyingi kwa wakati mmoja ili kuunda nakala tofauti.Picha zinafaaa kuwa kubwa kuliko 30×40 mm. Weka picha umbali wa 5 mm kutoka kwa alama ya kona glasi ya kichanganuzi, na uwache 5 mm kati ya picha.Unaweza kuweka picha za ukubwa tofauti kwa wakati mmoja.

Ukubwa wa juu: 10×15 cm (4×6 in.)