/ Kiambatisho / Sifa za Kiufundi / Ainisho za Kifaa cha Kuhifadhi cha Nje / Vipimo Vinavyoauniwa vya Kadi ya Kumbukumbu

Vipimo Vinavyoauniwa vya Kadi ya Kumbukumbu

Kadi Tangamanifu za Kumbukumbu

Uwezo wa Juu zaidi

miniSD*

GB 2

miniSDHC*

GB 32

microSD*

GB 2

microSDHC*

GB 32

microSDXC*

GB 64

SD

GB 2

SDHC

GB 32

SDXC

GB 64

* Ambatisha adapta ili itoshee kwenye mpenyo wa kadi ya kumbukumbu.Vinginevyo, kadi inaweza kukwama.