Kutenganisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kurejesha Mipangilio ya Mtandao kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapisha Picha kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapa mbalimbali kwenye Paneli Dhibiti
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu-tumizi ya Kutambaza na Kuhamisha Taswira (Easy Photo Scan)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Kusasisha Programu dhibiti ya Kichapishi kwa kutumia Paneli Dhibiti
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Ruka Ukurasa Mtupu: Epuka kuchapisha kurasa tupu.
Modi Tulivu: Huchapisha kimpya. Hata hivyo, huenda uchapishaji ukawa polepole.
Permit temporary black printing: Huchapisha kwa wino mweusi kwa muda.
High Speed Printing: Huchapisha wakati kichwa cha kuchapisha kinasogea pande zote mbili. Kasi ya uchapishaji na haraka, lakini ubora unaweza kupungua.
Toa hati za kuwekwa kwenye jalada: Weka karatasi ili iwe rahisi ukuweka kwenye faili unapochapisha data ya mandhari au uchapishaji wa pande 2. Uchapishaji wa bahasha haiauniwi.
Ondoa kingo nyeupe: Huondoa pambizo zisizohitajika wakati wa uchapishaji wa bila kingo.
Warning Notifications: Huruhusu kiendeshi cha kichapishi kuonyesha taarifa za onyo.
Establish bidirectional communication: Kwa kawaida, hii inafaa iwekwe kwenye On. Kuchagua Off wakati unatafuta taarifa ya kichapishi hakuwezekani kwa sababu printa inatumiwa na kompyuta za Windows kwenye mtandao au kwa sababu yoyote nyingine.