/ Utambazaji / Utambazaji Kupitia Paneli Dhibiti / Utambazaji kwenye Kadi ya Kumbukumbu / Chaguo za Menyu Mahiri za Kutambaza kwenye Kadi ya Kumbukumbu

Chaguo za Menyu Mahiri za Kutambaza kwenye Kadi ya Kumbukumbu

Mipangilio ya Utambazaji:
  • Ukubwa wa Kutambaza

    Teua ukubwa wa kutambaza. Ili kupuna nafasi nyeupe kwenye matini au taswira unapotambaza, teua Upunuaji Otomatiki. Ili kutambaza katika eneo kubwa la glasi ya kichanganuzi, teua Upeo wa Eneo.

  • Mwelekeo wa Hati

    Teua mwelekeo wa nakala asili.

Ulinganuzi:

Teua ulinganuzi wa taswira iliyotambazwa.

Ondoa Mipangilio Yote:

Huweka upya mipangilio ya kutambaza kwa chaguo-msingi yake.