Kutenganisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kurejesha Mipangilio ya Mtandao kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapisha Picha kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapa mbalimbali kwenye Paneli Dhibiti
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu-tumizi ya Kutambaza na Kuhamisha Taswira (Easy Photo Scan)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Kusasisha Programu dhibiti ya Kichapishi kwa kutumia Paneli Dhibiti
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Printa
Chagua ukubwa wa karatasi na aina ya karatasi uliyoingiza katika chanzo cha karatasi. Unaweza kufanya Mip. ya Kar'si U'ipenda kwenye ukubwa wa karatasi na aina ya karatasi. Teua
ili kurudi kwenye mipangilio ya mwisho uliyofanya.
Teua On ili kuonyesha skrini ya mipangilio ya karatasi kiotomatiki kwa kurejelea Mipangilio > Mipangilio ya Printa > M'gilio Chanzo Karatasi > Usanidi wa Karatasi wakati karatasi imepakiwa kwenye chanzo cha karatasi.Ukilemaza kipengele hiki, huwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone au iPad kutumia AirPrint
Teua On ili kupunguza kelele wakati wa kuchapisha, hata hivyo, hii inaweza kupunguza kasi ya uchapishaji. Kulingana na aina ya karatasi na mipangilio ya ubora wa kuchapisha uliyoteua, huenda kusiwe na tofauti katika kiwango cha kelele ya kichapishi.
Teua muda wa kukausha wino unaotaka kutumia unapotekeleza uchapishaji wa pande 2.Kichapishi huchapisha upande mwingine baada ya kuchapisha upande mmoja.Iwapo chapisho lako limepakwa wino, ongeza mpangilio wa muda.
Teua Washa ili kubadilisha uelekeo wa chapisho; Huchapisha wakati kichwa cha chapisho kinasonga upande wa kushoto na kulia.Ikiwa mistari mlalo na wima kwenye nakala yako inaonekana kuwa ina ukungu au haijalinganishwa, kulemaza kipengele hiki kunaweza kutatiza tatizo hilo; hata hivyo, kufanya hivyo kunaweza kupunguza kasi ya chapa.