Mwongozo wa Skrini ya Uhakiki

Bonyeza kitufe cha au ili kutazama picha ya awali au inayofuata.Bonyeza kitufe cha ili kuonyesha skrini ya kuhariri picha unapoweza kupuna picha au kufanya marekebisho ya rangi.

Weka idadi ya machapisho kwa kubonyeza kitufe cha - au +.Pia unaweza kuweka idadi ya nakala kwa kutumia kibao namba kwenye skrini.Sogeza ulengaji hadi kwenye thamani, na kisha ubonyeze kitufe cha OK ili kuonyesha kibao namba.

Iwapo thamani haitabadilika, huwezi kuweka idadi ya nakala kwenye skrini hii.