/ Kuhusu Mwongozo Huu / Utangulizi wa Miongozo

Utangulizi wa Miongozo

Miongozo ifuatayo hutumika na kichapishi chako cha Epson.Kadhalika miongozo, angalia aina mbalimbali za maelezo ya msaada yanayopatikana kutoka kwenye kichapishi chenyewe au kutoka programu-tumizi za Epson.

  • Maagizo Muhimu ya Usalama (mwongozo wa karatasi)

    Hukupa maagizo ya kuhakikisha usalama wa printa hii.

  • Anza Hapa (mwongozo wa karatasi)

    Hukupatia maelezo kuhusu kusanidi kichapishi, kusakinisha programu, kutumia kichapishi, na kadhalika.

  • Mwongozo wa Mtumiaji (mwongozo wa dijitali)

    Mwongozo huu.Hutoa maelezo ya jumla na maagizo kuhusu kutumia kichapishi, kwenye mipangilio ya mtandao unapotumia kichapishi kwenye mtandao, na kutatua matatizo.

Unaweza kupata matoleo mapya ya miongozo iliyo hapa juu kwa kutumia mbinu zifuatazo.

  • Mwongozo wa karatasi

    Tembelea tovuti ya usaidizi ya Epson Ulaya http://www.epson.eu/Support, au tovuti ya usaidizi wa Epson duniani iliyo http://support.epson.net/.

  • Mwongozo wa kidijitali

    Anzisha EPSON Software Updater kwenye kompyuta yako.EPSON Software Updater hukagua visasisho vilivyopo vya prograu za Epson na miongozi ya kidijitali, na hukuruhusu kupakua mpya.