/ Kutayarisha Kichapishi / Chaguo za Menyu kwa Mipangilio / Chaguo za Menyu kwa Rejesha

Chaguo za Menyu kwa Rejesha

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Rejesha

Mipangilio ya Mtandao:

Huweka mipangilio ya mtandao kwenye chaguo zao msingi.

Zote isipokuwa Mipangilio ya Mtandao:

Huweka upya mipangilio isipokuwa kwa mipangilio ya mtandao kwa chaguo-msingi yake.

Mipangilio Yote:

Huweka mipangilio kwenye chaguo-msingi yake.