/ Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu / Kusakinisha Programu-tumizi za Sasa

Kusakinisha Programu-tumizi za Sasa

Kumbuka:

Wakati unasakinisha upya programu, unahitaji kuisakinusha kwanza.

  1. Hakikisha kuwa kichapishi na kompyuta zinapatikana kwa mawasiliano, na kompyuta imeunganishwa kwenye Intaneti.

  2. Anzisha EPSON Software Updater.

    Picha ya skrini ni mfano kwenye Windows.

  3. Kwa Windows, teua kichapishi chako, na kisha ubofye ili kuangalia programu-tumizi za sasa zinazopatikana.

  4. Teua vipengee unavyotaka kusakinisha au kusasisha, na kisha ubofye kitufe cha kusakinisha.

    Muhimu:

    Usizime au kuchomoa kichapishi hadi kisasisho kikamilike; vinginevyo, huenda kichapishi kisifanye kazi vilivyo.

    Kumbuka: