Kutenganisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kurejesha Mipangilio ya Mtandao kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapisha Picha kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwa Menyu ya Chapa mbalimbali kwenye Paneli Dhibiti
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu-tumizi ya Kutambaza na Kuhamisha Taswira (Easy Photo Scan)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Kusasisha Programu dhibiti ya Kichapishi kwa kutumia Paneli Dhibiti
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Iwapo kichapishi kimeunganishwa kwenye Mtandao, unaweza kusasisha programu dhibiti ya kichapishi kwa kutumia paneli dhibiti. Pia unaweza kuweka kichapishi katika ukaguzi wa kila mara kwa visasisho vya programu dhibiti na kukuarifu iwapo kuna vyovyote vinavyopatikana.
Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, sogeza kulenga kwa kipengee kutumia vitufe vya
, na kisha bonyeza kitufe cha OK.
Chagua Sasisho la Pro. > Sasisha.
Wezesha Taarifa ili kuweka kichapishi kwa ukaguzi wa kila mara kwa visasisho vinavyopatikana vya programu dhibiti.
Angalia ujumbe unaoonyreshwa kwenye skrini na ubonyeze Anza Kukagua ili kuanza kutafuta visasisho vinavyopatikana.
Iwapo ujumbe unaoonyeshwa kwenye skrini ya LCD unaokufahamisha kuwa kisasisho cha programu dhibiti kinapatikana, fuata maagizo yaliyo kwenye skrini ili kuwasha kisasisho.
Usizime au kuchomoa kichapishi hadi kisasisho kikamilike; vinginevyo, huenda kichapishi kisifanye kazi vilivyo.
Iwapo programu dhibiti haijakamilika au haijafanikiwa, kichapishi hakitaanza kazi kwa nja ya kawaida na “Recovery Mode” inaonyeshwa kwenye skrini ya LCD wakati mwingine kichapishi kitakapowashwa. Katika hali hii, unahitaji kusasisha tena programu dhibiti kwa kutumia kompyuta. Unganisha kichapishi kwenye kompyuta kwa kebo ya USB. Wakati “Recovery Mode” inaonyeshwa kwenye kichapishi, huwezi kusasisha programu dhibiti kupitia muunganisho wa mtandao. Kwenye kompyuta, fikia tovuti yako ya ndani ya Epson, na kisha upakue programu dhibiti ya sasa ya kichapishi. Tazama maagizo kwenye tovuti kwa hatua zifuatazo.