/ Utambazaji / Utambazaji Kupitia Paneli Dhibiti / Utambazaji kwenye Kadi ya Kumbukumbu

Utambazaji kwenye Kadi ya Kumbukumbu

Unaweza kuhifadhi taswira iliyotambazwa kwenye kadi ya kumbukumbu.

  1. Chomeka kadi ya kumbukumbu kwenye kichapishi.

  2. Weka nakala za kwanza.

  3. Teua Changanua kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, sogeza kulenga kwa kipengee kutumia vitufe vya , na kisha bonyeza kitufe cha OK.

  4. Teua Kifaa cha Kumbukumbu.

  5. Weka vipengee kwenye kichupo cha Changanua, kama vile umbizo la kuhifadhi.

  6. Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri, na kisha ukague mipangilio, na uibadilishe ikiwezekana.

  7. Teua kichupo cha Changanua, na kisha ubonyeze kitufe cha .