Ujumbe kwenye Mazingira ya Mtandao

Ujumbe

Suluhisho

*Multiple network names (SSID) that match your entered network name (SSID) have been detected. Confirm network name (SSID).

Huenda SSID sawa ikawekwa kwenye maeneo mbalimbali ya ufikiaji. Angalia mipangilio kwenye maeneo ya ufikiaji, na ubadilishe SSID.

The Wi-Fi environment needs to be improved. Turn the wireless router off and then turn it on. If the connection does not improve, see the documentation for the wireless router.

Baada ya kusogeza kichapishi karibu na eneo la ufikiaji na kuondoa vizuizi vyovyote kati yake, zima eneo la ufikiaji. Subiri kwa karibu sekunde 10, na kisha uiwashe. Endapo bado haitaunganishwa, angalia waraka ulioletwa pamoja na eneo la ufikiaji.

*No more devices can be connected. Disconnect one of the connected devices if you want to add another one.

Kompyuta na vifaa maizi vinavyoweza kuunganishwa wakati huo huovinaunganishwa kikamilifu kwenye muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi). Ili kuongeza kompyuta nyingine au kifaa maizi, kata muunganisho wa mojawapo ya vifaa vilivyounganishwa kwanza. Unaweza kuthibitisha idadi ya vifaa pasiwaya vinavyoweza kuunganishwa wakati huo huo na idadi ya vifaa vilivyounganishwa kwa kuangalia laha la hali ya mtandao au paneli ya udhibiti ya kichapishi.