/ Kukarabati Kichapishi / Kusafisha Kijia cha Karatasi na Umwagikaji wa Wino

Kusafisha Kijia cha Karatasi na Umwagikaji wa Wino

Wakati uchapishaji una uchafu au kuchakaa, safisha kibiringizaji kiicho ndani.

Muhimu:

Usitumie karatasi ya shashi kusafisha ndani mwa kichapishi.Nozeli za kichwa cha kushapisha zinaweza kuzibwa na nyuzi za pamba.

  1. Pakiakaratasi tupu yenye ukubwa wa A4 katika printa.

  2. Teua Matengenezo kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  3. Teua Usfshaji Mwongzo wa Krtasi.

  4. Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini kusafisha njia ya karatasi.

    Kumbuka:

    Rudia utaratibu huu hadi karatasi iwache kuchfuliwa na wino.