/ Kunakili / Kunakili kwenye Pande 2

Kunakili kwenye Pande 2

  1. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  2. Bonyeza kitufe cha OK ili kuonyesha mipangilio ya kuchapisha, na kisha ubonyeze kitufe cha .

  3. Teua 1>Pande 2 kama mpangilio wa Pande 2, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  4. Teua mwelekeo wa nakala asili kwa mpangilio wa Mwelekeo wa Hati, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  5. Teua mwelekeo wa ulinganidshaji kwa mpangilio wa Ufungaji(Nakala), na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  6. Kagua vipengee vingine vya mpangilio wa chapisho, na uvibadilishe ikiwezekana, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  7. Bonyeza kitufe cha .