Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Chunga uzuiaji unaofuata ili uhakikishe matumizi mazuri na ya kisheria ya printa.
Kunakili vipengele vifuatavyo kumepigwa marufuku na sheria:
Noti, sarafu, dhamana za serikali, dhamana za bondi za serikali, na dhamana za manispaa
Stampu za posta ambazo hazijatumiwa, kadi za posta zenye stampu ya kabla, na vitu vingine vya rasmi vya posta halali hadi vitumwe
Stampu za mapato zilizotolewa na serikali, na dhamana zilizotlewa kulingana na taratibu ya kisheria
Kuwa tahadhari wakati unanakili vitu vifuatavyo:
Dhamana za kibinafsi (vyeti vya hisa, noti za mjadala, hundi, nk.), vibali vya kila mwezi, tiketi za mkataba, nk.
Pasipoti, leseni ya kuendesha gari, dhamana za uzima, vibali vya barabarabi, stampu za chakula, tiketi, nk.
Kunakili vitu hivi pia kunaweza kupigwa marufuku na sheria.
Matumizi mazuri ya nyenzo za hatimiliki:
Printa inaweza kutumiwa vibaya kwa kunakili nyenzo za hatimiliki. Isipokuwa unatenda kwa ushauri wa wakili mwenye ujuzi, wajibika na uwe na heshima ya kupata ruhusu ya mwenye hatimiliki kabla ya kunakili nyenzo zilizochapishwa.