/ Kutatua Matatizo / Matatizo ya Picha Iliyotambazwa / Matini Hayaonekani vizuri

Matini Hayaonekani vizuri

  • Kwenye Hali ya Hati katika Epson Scan 2, teua kichupo cha Mipangilio ya hali ya Juu, na kisha Chaguo la Picha > Uboreshaji Maandishi.

  • Teua Hali ya Hati kama Hali kwenye Epson Scan 2. Tambaza kwa kutumia mipangilio ya nyaraka kwenye Hali ya Hati.

  • Kwenye Hali ya Hati katika Epson Scan 2, wakati Aina ya Picha kwenye kichupo cha Mipangilio Kuu imewekwa kwa Ny'i na Nyeupe, rekebisha Kiwango cha juu kwenye kichupo cha Mipangilio ya hali ya Juu. Unapoongeza Kiwango cha juu, eneo la rangi nyeusi huwa kubwa.

  • Iwapo mwonekano uko chini, jaribu kuongeza ulinganuzi na kisha kutambaza.