/ Kukarabati Kichapishi / Kukagua na Kusafisha Kichwa cha Uchapishaji / Kukagua na Kusafisha Kichwa cha Uchapishaji — Windows

Kukagua na Kusafisha Kichwa cha Uchapishaji — Windows

  1. Weka karatasi tupu yenye ukubwa wa A4 katika printa.

  2. Nenda kwa dirisha la kiendeshi cha printa.

  3. Bofya Ukaguzi wa Nozeli kwenye kichupo cha Utunzaji.

  4. Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini.