Mipangilio ya Utendaji ya Kiendeshi cha Kichapishi cha Mac OS

  • Ruka Ukurasa Mtupu: Epuka kuchapisha kurasa tupu.

  • Modi Tulivu: Huchapisha kimpya. Hata hivyo, huenda uchapishaji ukawa polepole.

  • Permit temporary black printing: Huchapisha kwa wino mweusi kwa muda.

  • High Speed Printing: Huchapisha wakati kichwa cha kuchapisha kinasogea pande zote mbili. Kasi ya uchapishaji na haraka, lakini ubora unaweza kupungua.

  • Toa hati za kuwekwa kwenye jalada: Weka karatasi ili iwe rahisi ukuweka kwenye faili unapochapisha data ya mandhari au uchapishaji wa pande 2. Uchapishaji wa bahasha haiauniwi.

  • Ondoa kingo nyeupe: Huondoa pambizo zisizohitajika wakati wa uchapishaji wa bila kingo.

  • Warning Notifications: Huruhusu kiendeshi cha kichapishi kuonyesha taarifa za onyo.

  • Establish bidirectional communication: Kwa kawaida, hii inafaa iwekwe kwenye On. Kuchagua Off wakati unatafuta taarifa ya kichapishi hakuwezekani kwa sababu printa inatumiwa na kompyuta za Windows kwenye mtandao au kwa sababu yoyote nyingine.