/ Kutatua Matatizo / Haiwezi Kuchapisha kwenye Kompyuta / Kukagua Hali ya Kichapishi kutoka kwenye Kompyuta (Mac OS)

Kukagua Hali ya Kichapishi kutoka kwenye Kompyuta (Mac OS)

Hakikisha hali ya kichapishi Haijasitishwa.

Teua Mapendeleo ya Mfumo kutoka kwenye menyu ya > Kichapishi na Vitambazaji (au Chapisho na Tambazo, Chapisho na Faksi), na kisha ubofye mara mbili kwenye kichapishi.Ikiwa kichapishi kimesitishwa, bofya Endelea (au Endelea Kutumia Kichapishi).