/ Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu / Kuchapisha kwa Kutumia Huduma ya Mtandao

Kuchapisha kwa Kutumia Huduma ya Mtandao

Kwa kutumia huduma ya Epson Connect inayopatikana mtandaoni, unaweza kuchapisha kutoka kwa simu yako mahiri, kijilaptopu, au laptopu, wakati wowote na kutoka mahali popote.Ili kutumia huduma hii, unahitaji kumsajili mtumiaji na kichapishi kwenyeEpson Connect.

Vipengele vinavyopatikana kwenye Wavuti ni kama vifuatavyo.

  • Email Print

    Unapotuma barua pepe iliyo na maambatisho kama nyaraka au picha kwenye anwani ya barua pepe iliyopangiwa kichapishi, unaweza kuchapisha n\barua pepe hiyo na viambatisho kutoka amaeneo ya mbali kama vile kichapishi cha nyumbani au ofisi yako.

  • Epson iPrint

    Programu-tumizi hii ni ya iOS na Android, na hukuruhusu kuchapisha kutoka kwenye simu maizi au kompyuta ndogo.Unaweza kuchapisha nyaraka, picha, na tovuti kwa kuzituma moja kwa moja kwenye kichapisho kwenye LAN sawa ya pasiwaya.

  • Remote Print Driver

    Hiki ni kiendeshi kilichoshirikiwa kinachoauniwa na Kiendeshi cha Uchapishaji wa Mbali.Unapochapisha kwa kutumia kichapishi katika eneo la mbali, unaweza kuchapisha kwa kubadilisha kichapishi kwenye dirisha la kawaida la programu-tumizi.

Angalia tovuti ya lango la Epson Connect upate maelezo.

https://www.epsonconnect.com/

http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake)