Inachapisha kwa Muda kwa Wino Mweusi — Mac OS

Kumbuka:

Ili kutumia kipengele hiki kupitia mtandao, unganisha kwa Bonjour.

  1. Bofya ikoni ya kichapishi katika Doki.

  2. Katisha kazi.

    Kumbuka:

    Iwapo huwezi kukatisha uchapishaji kutoka kwenye kompyuta, katisha ukitumia paneli dhibiti ya kichapishi.

  3. Teua Mapendeleo ya Mfumo kutoka kwa menyu > Vichapishi na Vitambazaji (au Chapisho na Utambaze, Chapisho na Faksi), na kisha uteue kichapishaji.Bofya Chaguo na Vifaa > Chaguo (au Kiendeshi).

  4. Teua On kama mpangilio wa Permit temporary black printing.

  5. Fikia kidadisi cha uchapishaji.

  6. Teua Mipangilio ya Kuchapisha kutoka kwa menyu ibukizi.

  7. Teua ukubwa wa karatasi isipokuwa kwa ukubwa wa usio na ukingo kama mpangilio wa Ukbwa wa Krtasi.

  8. Teua Karatasi tupu au Bahasha kama mpangilio wa Media Type.

  9. Teua Rekebu-kijivu.

  10. Weka vipengele hivyo vingine inavyohitajika.

  11. Bofya Chapisha.