Kuingiza Vibambo

Ili kuingiza vibambo na ishara za mipangilio ya mtandao na kusajili waasiliani kutoka kwenye paneli dhibiti, tumia vitufe vya , , , na na kibodi ya programu kwenye skrini ya LCD. Bonyeza kitufe cha , , , au ili kuangazisha kitufe cha kibambo au kitendaji kwenye kibodi, na kisha ubonyeze kitufe cha OK. Unapokamilisha kuingiza vibambo, teua OK, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

Kitufe cha kitendaji

Ufafanuzi

Husogeza kishale upande wa kushoto au kulia.

A 1 #

Hubadilisha aina ya kibambo. Unaweza kuingiza herufi na tarakimu na ishara.

Pia unaweza kuzibadili kwa kutumia kitufe cha .

Huingiza nafasi.

Hufuta kibambo upande wa kushoto (nafasi nyuma).

OK

Huingiza vibambo vilivyoteuliwa.