Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Tumia mbinu hii ya muunganisho wakati hutumii Wi-Fi nyumbani au afisini, au wakati unataka kuunganisha kichapishi na kompyuta au kifaa maizi moja kwa moja. Katika modi hii, kichapishi hutumika kama kipanga njia pasiwaya na unaweza kuunganisha vifaa kwenye kichapishi bila kutumia kipanga njia pasiwaya wastani. Hata hivyo, vifaa vilivyounganishwa moja kwa moja kwenye kichapishi haviwezi kuwasiliana na vingine kupitia kichapishi.

Kichapishi kinaweza kuunganishwa na Wi-Fi na muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kwa wakati mmoja. Hata hivyo, ukiwasha muunganisho wa mtandao kwenye muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) wakati kichapishi kimeunganishwa kwa Wi-Fi, Wi-Fi inakatwa muunganisho kwa muda.