Kuunganisha Kwenye DSL au ISDN

Unganisha keno ya simu kutoka kwa modemu ya DSL au adapta ya temino ya ISDN kwenye lango la LINE upande wa nyuma wa printa. Angalia hati zilizokuja na modemu au adapta kwa maelezo zaidi.

Kumbuka:

Ikiwa modemu yako ya DSL haina kichujio cha DSL cha ndani, unganisha kichujio tofauti cha DSL.