/ Kuchapisha / Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows / Kuchapisha Kutumia Kipengele cha Uchapidshaji Kilichosawazishwa cha Rangi

Kuchapisha Kutumia Kipengele cha Uchapidshaji Kilichosawazishwa cha Rangi

Unaweza kuboresha uonekanaji wa matini na picha kwenye machapisho.

Chapisho Lote la Rangi kinapatikana tu wakati mipangilio ifuatayo imeteuliwa.

  • Aina ya Karatasi: Karatasi tupu

  • Ubora: Wastani au ubora wa juu

  • Rangi ya Kuchapisha: Rangi

  • Programu-tumizi: Microsoft® Office 2007 au toleo la baadaye

  • Ukubwa wa Matini: Alama 96 au ndogo