/ Kutayarisha Kichapishi / Chaguo za Menyu kwa Mipangilio / Chaguo za Menyu kwa Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi

Chaguo za Menyu kwa Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi

Huweka upya menyu zifuatazo kwa chaguo-msingi yake.

  • Mipangilio ya Mtandao

  • Nakili Mipangilio

  • Mipangil. Uchanganuzi

  • Mipangilio ya Faksi

  • Ondoa Data na Mipangilio Yote