/ Kutatua Matatizo / Matatizo ya Picha Iliyotambazwa / Haiwezi Kuhakiki kwenye Kijipicha

Haiwezi Kuhakiki kwenye Kijipicha

  • Unapoweka naka asili nyingi kwenye kioo cha kitambazaji, hakikisha kuna nafasi ya angalau 20 mm (0.79 in.) kati ya nakala asili.

  • Hakikisha kuwa nakala asili imewekwa wima.

  • Kulingana na nakala asili, kuhakiki hakuwezi kutekelezwa kwenye Kijipicha. Katika hali hii, futa kikasha teuzi cha Kijipicha upande wa juu wa dirisha la uhakiki ili kuhakiki eneo kamili lililotambazwa, na kisha uunde marquees kikuli.