/ Kutatua Matatizo / Matatizo Mengine / Tarehe na Saa Sio Sahihi

Tarehe na Saa Sio Sahihi

Weka tarehe na saa kwa usahihi kwenye paneli dhibiti. Baada ya kupotea kwa stima kunakosababishwa na radi au ikiwa kifaa kimezimwa kwa muda mrefu saa inaweza kuonyesha wakati usio sahihi.