Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Modi hii hukuruhusu kutumia laini kwa matumizi yafuatayo.
Kutumia laini kwa kutuma faksi pekee (simu ya nje sio lazima)
Kutumia laini kwa kutuma faksi hasa, na wakati mwingine kupiga simu
Kichapishi hubadili kiotomatiki ili kupokea faksi wakati idadi ya milio uliyoweka kwenye Hutoa mlio ili Kujibu imekamilika.
Kichapishi kilicho na kifaa cha nje cha simu hufanya kazi kama ifuatavyo.
Wakati mashine ya kujibu inapojibu ndani ya idadi ya milio iliyowekwa kwenye Hutoa mlio ili Kujibu:
- Iwapo mlio ni wa faksi: Kichapishi hubadili kiotomatiki ili kupokea faksi.
- Iwapo mlio ni wa simu ya sauti; Mashine ya kujibu inaweza kupokea simu za sauti na kurekodi ujumbe wa sauti.
Unapopokea simu ndani ya idadi ya milio iliyowekwa kwenye Hutoa mlio ili Kujibu:
- Iwapo mlio ni wa faksi: Unaweza kupokea faksi kwa kutumia hatua sawa kama za Mwenyewe. Teua Faksi kwenye skrini ya nyumbani ya kichapishi, bonyeza kitufe cha # ili kuteua kupokea faksi, na kisha ubonyeze kitufe cha
. Pili kata simu.
- Iwapo mlio ni wa simu ya sauti: Unaweza kujibu simu kama ya kawaida.
Mlio unapositishwa na kichapishi hubadili kiotomatiki ili kupokea faksi:
- Iwapo mlio ni wa faksi: Kichapishi huanza kupokea faksi.
- Iwapo mlio ni wa simu ya sauti: Huwezi kujibu simu. Muulize mtu huyo akupigie tena.
Weka idadi ya milio ili kujibiwa kwa mashine ya kujibu kwa idadi ya chini kuliko idadi iliyowekwa kwenye Hutoa mlio ili Kujibu. La sivyo, mashine ya kujibu haiwezi kupokea simu za sauti ili irekodi ujumbe wa sauti. Kwa maelezo kuhusu kusanidi mashine ya kujibu, tazama mwongozo uliokuja na mashine ya kujibu.