/ Kutatua Matatizo / Matatizo ya Uchapishaji / Mistari wa Rangi Hutokea kati ya Umbali wa Takriban sm 2.5

Mistari wa Rangi Hutokea kati ya Umbali wa Takriban sm 2.5

  • Teua mpangilio unaofaa wa aina ya karatasi kwa aina ya karatasi iliyopakiwa katika kichapishi.

  • Pangilia kichwa cha kuchapisha kwa kutumia kipengele cha Upangiliaji Kimlalo.

  • Unapochapisha kwenye karatasi wazi, chapisha kwa kutumia mpangilio wa ubora wa juu.