/ Kiambatisho / Mahali pa Kupata Msaada / Kuwasiliana na Usaidizi wa Epson / Msaada kwa Watumiaji Nchini Uthai

Msaada kwa Watumiaji Nchini Uthai

Anwani za kupata maelezo, usaidizi, na huduma ni:

Wavu wa Walimwengu

http://www.epson.co.th

Maelezo kuhusu sifa za bidhaa, viendeshi vya kupakua, Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ), na barua pepe zinapatikana.

Kituo cha Simu cha Epson

Simu: 66-2685-9899

Barua pepe: support@eth.epson.co.th

Timu yetu ya Kituo cha Simu inaweza kukusaidia na yafuatayo kupitia simu:

  • Maswali kuhusu uuzaji na maelezo ya bidhaa

  • Maswali au matatizo kuhusu utumiaji wa bidhaa

  • Maswali kuhusu huduma ya ukarabati na udhamini