Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Usizuie au kufunika matundu na mipenyo katika printa.
Tumia tu aina ya chanzo cha nishati kinachoonyeshwa kwenye lebo ya printa.
Usitumie vyanzo vyenye saketi moja na fotokopi au mifumo ya kudhibiti hewa zinazo waka na kuzima mara kwa mara.
Usitumie vyanzo vya stima vinavyodhibitiwa na swichi za ukutani au vipima saa vya kiotomatiki.
Weka mfumo mzima wa kompyuta mbali na vyanzo vinavyoweze kusababisha athari za sumaku umeme, kama vile vipaza sauti au kifaa vya besi vya simu zisizo na waya.
Waya za nishati zinafaa zibadilishwe ili kuzuia mchubuko, kukatika, kulegea, kukunjika, na kupindika. Usiwekelee vitu juu ya waya za nishati na usiwache waya za nishati kukanyagwa. Kuwa hasa makinifu uweke waya zote za nishati zikiwa zimenyooka katika ncha na maeneo zinapoingia na kutoka kwa transfoma.
Ikiwa unatumia waya ya mkondo na printa hii, hakikisha kwamba kiwango chote cha ampea cha vifaa vilivyounganishwa kwenye mkondo huo wa waya hakijazidi kiwango cha ampea cha mkondo. Pia, hakikisha kwamba kiwango chote cha ampea cha vifaa vyote vilivyounganishwa kwenye soketi ya ukutani hakizidishi kiwango cha apea cha soketi ya ukutani.
Ikiwa unapanga kutumia printa hii nchini Ujerumani, lazima mfumo wa jengo uwe umelindwa na kikatisha saketi cha amp 10 au 16 ili upate ulinzi wa kutosha wa kuzuia saketi na ulinzi wa nishati zaidi kwa printa hii.
Wakati unaunganisha printa kwenye kompyuta au kifaa kingine ukitumia kebo, hakikisha mwelekeo wa viunganishi. Kila kiunganishi kina mwelekeo mmoja sahihi. Kuingiza kiunganishi katika mwelekeo usio sahihi kunaweza kuharibu vifaa vyote viwili vilivyounganishwa na kebo.
Weka printa katika eneo tambarare lililo imara linalozidi ukubwa wa printa pande zote. Printa haitafanya kazi ipasavyo ikiwa itainamishwa upande mmoja.
Wacha nafasi juu ya printa ili uwezi kuinua kifuniko cha hati kabisa.
Wacha nafasi ua kutosha mbele ya printa kwa karatasi ilitolewe vizuri.
Epuka naafasi zinazobadilika halijoto na unyevu mara kwa mara. Pia, weka printa mbali na mwale wa jua wa moja kwa moja, mwangaza mkali, au vyanzo vya joto.