Muunganisho wa Wi-Fi

Unganisha kichapishi na kompyuta au kifaa maizi kwenye kipanga njia pasiwaya. Hii ni mbinu ya kawaida ya muunganisho wa mitandao ya nyumbani na ofisini ambapo kompyuta zinaunganishwa kwa Wi-Fi kupitia kipanga njia pasiwaya.