/ Kiambatisho / Mahali pa Kupata Msaada / Kuwasiliana na Usaidizi wa Epson / Msaada kwa Watumiaji Nchini Ufilipino

Msaada kwa Watumiaji Nchini Ufilipino

Ili upate usaidizi wa kiufundi pamoja na huduma zingine za baada ya uuzaji, watumiaji wanakaribishwa kuwasiliana na Epson Philippines Corporation kupitia nambari za simu, faksi na anwani ya barua pepe iliyo hapa chini:

Wavu wa Walimwengu

http://www.epson.com.ph

Maelezo kuhusu sifa za bidhaa, viendeshi vya kupakua, Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ), na Maswali ya Barua Pepe yanapatikana.

Huduma Kwa Wateja wa Epson nchini Ufilipino

Bila Malipo: (PLDT) 1-800-1069-37766

Bila Malipo: (Dijitali) 1-800-3-0037766

Wilaya ya Manila: (632) 8441 9030

Tovuti: https://www.epson.com.ph/contact

Barua pepe: customercare@epc.epson.com.ph

Inaweza kufikiwa kuanzia saa 9am hadi 6pm, Jumatatu hadi Jumamosi (Isipokuwa sikukuu za umma)

Timu yetu ya Kuwahudumia Wateja inaweza kukusaidia na yafuatayo kupitia simu:

  • Maswali kuhusu uuzaji na maelezo ya bidhaa

  • Maswali au matatizo kuhusu utumiaji wa bidhaa

  • Maswali kuhusu huduma ya ukarabati na udhamini

Epson Philippines Corporation

Laini Kuu ya Simu: +632-706-2609

Faksi: +632-706-2663