Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Katika mwongozo huu, maneno kama vile “Windows 10”, “Windows 8.1”, “Windows 8”, “Windows 7”, “Windows Vista”, “Windows XP”, “Windows Server 2019”, “Windows Server 2016”, “Windows Server 2012 R2”, “Windows Server 2012”, “Windows Server 2008 R2”, “Windows Server 2008”, “Windows Server 2003 R2”, na “Windows Server 2003” hurejelea mifumo ifuatayo ya uendeshaji. Zaidi ya hayo, “Windows” hutumiwa kumaanisha matoleo yote.
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows® 10
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows® 8.1
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows® 8
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows® 7
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Vista®
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows® XP
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows® XP Professional x64 Edition
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2019
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2016
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2012 R2
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2012
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2008 R2
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2008
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2003 R2
Mfumo wa uendeshaji wa Microsoft® Windows Server® 2003
Kwenye mwongozo huu, “Mac OS” inatumika kurejelea Mac OS X v10.6.8 au baadaye, macOS 11 au toleo la baadaye.